1,720,955 research outputs found
Tathmini ya Tafsiri ya Majina ya Pekee ya Watu kutoka Kiswahili kwenda Gᴉrᴉmi: Mifano kutoka Agano Jipya
Tafsiri ni muhimu sana kwa sababu inaunganisha watu wanaozungumza lugha tofauti. Majina ya pekee ya watu ni kipengele muhimu pia cha kutafsiriwa kwa sababu humbainisha mwenye jina na kuwasilisha ujumbe unaobebwa na mwenye jina hilo. Makala hii inatathmini tafsiri ya majina ya pekee ya watu kutoka Agano Jipya la Kiswahili kwenda Agano Jipya kwa Gᴉrᴉmi. Nadharia ya Ulinganifu wa Kimawasiliano imetumika katika tathmini hiyo. Data zilizotumika kwenye makala hii zimekusanywa kwa njia ya uchambuzi matini na usaili. Makala inaonesha kwamba mikakati inayotumika kutafsiri majina katika matini teule ni miwili ambayo ni unakilishaji na utohozi wa majina. Hata hivyo, unakilishaji sauti una dosari kadhaa kwa sababu ya kuhamishia fonolojia na mofolojia ya Kiswahili katika Gᴉrᴉmi. Pia, kuna upungufu katika tafsiri ya majina hayo ambao unatokana na kubadilishwa kwa sauti kusikotabirika, tafsiri kuegemea zaidi katika Kiingereza badala ya Kiswahili ambayo ni matini chanzi mama, na kukosekana kwa urari katika kutafsiri jina moja. Makala hii inapendekeza tafsiri ya majina ya pekee ya watu kutoka lugha moja kwenda nyingine kufanyika kwa usahihi na urari ili dhima inayobebwa na majina hayo iweze kuakisiwa katika matini lengwa
Utoshelevu wa Mawasiliano kwa Kiswahili katika Teknolojia ya SIKANU:: Uchunguzi Kifani wa WhatsApp
This paper investigated the adequacy of Kiswahili communication, the most famous and widely used African language, communication in Smartphone technology basing on WhatsApp. Specifically, the analysis relied on Tecno F1. The methodology used was content analysis whereby Kiswahili directives were examined to check how adequate and effective are they. The criteria considered are comprehension/making sense, availability of vocabulary in Kiswahili dictionaries and in daily use, noun classes, affixation and word order. The analysis showed that vocabulary used in the application is, to some extent, sufficient to serve communication purpose to its users. There are words which are very familiar to the users and others are new. The new ones are formed to fill the commucative blankness which is created by the new discoveries. The results showed further that the formation of the words is in line with Kiswahili word formation processes. Likewise, the investigation showed that some verbs were given new meanings to meet new communication to the WhatsApp users. With regard to grammar, most of directives observed to follow Kiswahili word order and affixation rules. However, there are ungrammatical constructions found, mostly, caused by literal translation. Following these results, the paper suggests more efforts to develop and spread Kiswahili, especially to Tanzanians in order to give the language supremacy to be used in science and technology. The use of Swahili will accelerate the development and economic competitiveness in particular among Tanzanians, Africans and other competitors worldwide.
Makala hii inahusu uchunguzi wa utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. Uchunguzi umejikita katika programu tumizi ya SIKANU ijulikanayo kwa jina la WhatsApp na simu ya mkononi aina ya Tecno F1 imetumiwa kama uchunguzi kifani. Utafiti umetumia mkabala wa kitaamuli, ambapo maelezo na maelekezo ya Kiswahili yaliyomo katika WhatsApp yamechunguzwa katika kupima utoshelevuake. Vigezo vilivyotumika kupima utoshelevu wa mawasiliano hayo ni uelewekaji, uwepo wa msamiati katika kamusi za Kiswahili na katika matumizi ya wazungumzaji, ngeli za nomino, mpangilio wa viambishi na wa maneno katika tungo. Uchanganuzi umeonesha kuwa msamiati unaotumika katika WhatsApp, kwa kiasi kikubwa, ni toshelevu kiasi cha kukidhi mawasiliano baina ya watumiaji wake. Kuna msamiati ambao unafahamika na kuzoeleka kwa watumiaji na mwingine ni mapya. Msamiati mpya unaundwa kuziba mwanya wa mawasiliano unaotokana na ugunduzi wa mambo mapya. Kadhalika, matokeo ya utafiti yameonesha kuwa uundaji wa msamiati mpya unaakisi michakato ya uundaji wa maneno ya Kiswahili kwa kiasi kikubwa. Vilevile, matokeo yameonesha kuwa baadhi ya vitenzi vinapatiwa maana mpya ili kukidhi mawasiliano mapya ya watumiaji wa WhatsApp. Kuhusu sarufi, maelezo na maelekezo mengi yameonekana kuzingatia mpangilio wa maneno na kanuni za uambishaji za Kiswahili. Kwa upande mwingine, matokeo ya utafiti yameonesha utosarufi katika miundo ya Kiswahili. Utosarufi huo, kwa kiasi kikubwa, unasababishwa na tafsiri sisisi. Kufuatia matokeo haya, makala hii inapendekeza kwamba Watanzania na Waafrika kwa ujumla wajitihidi kuikuza na kuiendeleza lugha ya Kiswahili ili kuipa umashuhuri zaidi na kuiwezesha kutumika katika nyanja za sayansi na teknolojia. Kwa kufanya hivyo, matumizi ya Kiswahili yataongeza kasi ya maendeleo na ushindani wa kiuchumi miongoni mwa Watanzania, Waafrika na walimwengu wengine
Going Beyond Counting First Authors in Author Co-citation Analysis
The present study examines one of the fundamental aspects of author co-citation analysis (ACA) - the way co-citation
counts are defined. Co-citation counting provides the data on which all subsequent statistical analyses and mappings
are based, and we compare ACA results based on two different types of co-citation counting - the traditional type that
only counts the first one among a cited work's authors on the one hand and a non-traditional type that takes into
account the first 5 authors of a cited work on the other hand. Results indicate that the picture produced through this non-traditional author co-citation counting contains more coherent author groups and is therefore considerably clearer. However, this picture represents fewer specialties in the research field being studied than that produced through the traditional first-author co-citation counting when the same number of top-ranked authors is selected and analyzed. Reasons for these effects are discussed
Variations on the Author
“Variations on the Author” discusses two of Eduardo Coutinho’s recent films (Um Dia na Vida, from 2010, and Últimas Conversas, posthumously released in 2015) and their contribution to the general question of documentary authorship. The director’s filmography is characterized by a consistent yet self-effacing form of authorial self-inscription: Coutinho often features as an interviewer that rather than express opinions propels discourses; an interviewer that is good at listening. This mode of self-inscription characterizes him as an author who is not expressive but who is nonetheless markedly present on the screen. In Um Dia na Vida, however, Coutinho is completely absent form the image, while Últimas Conversas, on the contrary, includes a confessional prologue that moves the director from the margins to the center of his films. This article examines the ways in which these works stand out in the filmography of a director who offers new insights into the notion of cinematic authorship
Appropriate Similarity Measures for Author Cocitation Analysis
We provide a number of new insights into the methodological discussion about author cocitation analysis. We first argue that the use of the Pearson correlation for measuring the similarity between authors’ cocitation profiles is not very satisfactory. We then discuss what kind of similarity measures may be used as an alternative to the Pearson correlation. We consider three similarity measures in particular. One is the well-known cosine. The other two similarity measures have not been used before in the bibliometric literature. Finally, we show by means of an example that our findings have a high practical relevance.information science;Pearson correlation;cosine;similarity measure;author cocitation analysis
Dispelling the Myths Behind First-author Citation Counts
We conducted a full-scale evaluative citation analysis study of scholars in the XML research field to explore just how different from each other author rankings resulting from different citation counting methods actually are, and to demonstrate the capability of emerging data and tools on the Web in supporting more realistic citation counting methods. Our results contest some common arguments for the continued
use of first-author citation counts in the evaluation of scholars, such as high correlations between author rankings by first-author citation counts and other citation
counting methods, and high costs of using more realistic citation counting methods that are not well-supported by the ISI databases. It is argued that increasingly available digital full text research papers make it possible for citation analysis studies to go beyond what the ISI databases have directly supported and to employ more
sophisticated methods
koamabayili/VECTRON-author-checklist: VECTRON author checklist
We have done our best to complete the author checklist relating to the use of animals in the hut study. Note that the objective for the hut study was to evaluate the IRS treatment applications for residual efficacy against Anopheles mosquitoes, including the local An. coluzzii mosquito population. Cows were only used to attract mosquitoes into the huts and no tests were carried out directly on the cows. The author checklist is intended for use with studies where experiments are carried out on animals, which is why we have had such difficulty in completing this for the hut study, as many of the questions do not relate to how the cows were used
Author-wise bibliometric analysis based on entropy.
Author-wise bibliometric analysis based on entropy.</p
- …
