1,720,956 research outputs found

    Kufanana na Kutofautiana kwa Konsonanti katika Msamiati wa Kipemba na Kingazija

    No full text
    Makala haya yanahusu ulinganishaji wa mfumo wa saui za konsonati baina ya Kipemba na Kingazija kwa lengo la kubaini mfanano na tofauti zilizopo baina yake. Data za makala haya zilikusanywa uwandani katika mazingira chasili ya wazawa wa lugha kupitia mbinu za hojaji na mahojiano. Matokeo tuliyoyapata kutoka kwa watoataarifa yameonesha kuwapo kwa mfanano na tofauti za mfumo wa sauti za konsonanti katika Kipemba na Kingazija. Hata hivyo, pamoja na tofauti za hapa na pale, tunathubutu kusema kuwa, Kipemba na Kingazija ni lugha ambazo zinatokana na lugha-mame moja, kwani tofauti hizo ndogondogo zilizojitokeza, imebainika kuwa zimetokana na utengano wake wa muda mrefu pamoja na umbali wa kijiografia uliopo miongoni mwake

    Majina Fiche ya Asili Wanayopewa Watu na Uchanuzi wake wa maana katika Lugha na Semi za Kiswahili

    Get PDF
    Azma ya makala haya ni kuonesha jinsi majina majina ya asili yenye maanafiche wanayopewa watu yanavyochanuza maana tofauti katika lugha ya Kiswahili. Watu wa jamii mbalimbali wana desturi ya kuwapa watoto wao majina yenye maana iliyojificha kwa malengo maalumu. Malengo hayo yanaweza kutokana na mazingira au vigezo mbalimbali vinavyosababisha watu wa jamii zingine kuwapa watoto wao majina ya namna hiyo. Pamoja na ukweli huo, bado baadhi ya watu hawajaelewa sawasawa maana ya majina hayo katika Kiswahili. Hivyo basi katika makala haya tumejikita zaidi na kuangazia majina hayo yanatoa maana gani katika lugha ya Kiswahili na jinsi maana hizo zinavyoakisi semi mbalimbali za Kiswahili. Data za makala haya zilikusanywa uwandani kwa kutumia mbinu za hojaji, usaili, mahojiano, udusuru wa nyaraka mbalimbali pamoja na kamusi ili kuapata maana ya majina hayo. Aidha, uchanganuzi wa data na uwasilishaji wake, ulitumia njia ya kitaamuli na wakati mwingine data zilichambuliwa kitakwimu. Zaidi ya hayo nadharia ya semiotiki ilitumika kuogoza uchanganuzi wa data za makala haya

    Ulinganishi wa Ngeli za Nomino za Kipemba na Kingazija

    No full text
    Makala haya yanachunguza ulinganishi wa ngeli za nomino za Kipemba na Kingazija ili kubaini namna zinavyofanana na kutofautiana. Makala haya ni sehemu ya utafiti mpana uliofanywa wa kulinganisha kiisimu Kipemba na Kingazija kwa lengo la kubaini uhusiano wa kimnasaba uliopo miongoni mwake. Ulinganishi wa ngeli za nomino umejikita kwenye viambishi katika maumbo ya umoja na wingi. Data iliyotumika katika utafiti uliozaa makala haya ilikusanywa uwandani kupitia mbinu za hojaji na mahojiano. Ulinganishi wa ngeli za nomino unaweza kufanywa kwa kutumia mikabala mbalimbali kulingana na wanazuoni tofauti waliojaribu kuainisha ngeli za nomino. Hata hivyo, katika makala haya ulinganishi huo umefanywa kwa kuegemea kigezo cha kimofolojia. Lengo ni kubaini namna maumbo ya viambishi vya umoja na wingi vya Kipemba na Kingazija yanavyofanana na kutofautiana. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba Kipemba na Kingazija zinashabihiana katika mfumo wake wa ngeli za nomino. Hali hii inaashiria kwamba lahaja hizi zimetokana na lugha-mame moja

    The challenges of competence-based training pedagogical approaches in improving English communication in secondary schools in Tanzania: A case of Temeke municipality

    Get PDF
    This study assessed the challenges of implementing Competency-Based Training (CBT) instructional methods for improved English communication skills in Tanzania\u27s Temeke Municipality high schools. The study was guided by the two theories, namely social learning theory and diffusion of innovations theory. It also adopted a convergent parallel mixed-methods design by applying qualitative and quantitative methods for data collection. Further, data were collected through surveys, interviews, and classroom observation from the sampled 100 secondary school teachers in the municipality. The data were analyzed by using SPSS for quantitative data and NVivo for qualitative data, whereby descriptive and content analysis were employed, respectively. Results indicated that even though CBT has the potential to improve students\u27 communication of English, several challenges hinder its effective application. Such challenges included insufficient teacher training, lack of teaching and learning materials, and unsuitable classroom environments. The majority of the teachers reported that they were not adequately trained to implement CBT in an effective way, and a critical shortage of materials such as textbooks, multimedia tools, and technology for interactive learning was reported. The study also pointed out that the traditional classroom settings, which were not very flexible to accommodate cooperative activities, also restricted the effective application of CBT methods. On this foundation, the study suggested improvement in the training of teachers, provision of resources, classroom organization, and policy formulation to facilitate the adoption of CBT in secondary schools. The suggestions are to close the gaps noted and foster better adoption of CBT to enhance English communication skills among secondary school learners in Temeke Municipality

    Going Beyond Counting First Authors in Author Co-citation Analysis

    Get PDF
    The present study examines one of the fundamental aspects of author co-citation analysis (ACA) - the way co-citation counts are defined. Co-citation counting provides the data on which all subsequent statistical analyses and mappings are based, and we compare ACA results based on two different types of co-citation counting - the traditional type that only counts the first one among a cited work's authors on the one hand and a non-traditional type that takes into account the first 5 authors of a cited work on the other hand. Results indicate that the picture produced through this non-traditional author co-citation counting contains more coherent author groups and is therefore considerably clearer. However, this picture represents fewer specialties in the research field being studied than that produced through the traditional first-author co-citation counting when the same number of top-ranked authors is selected and analyzed. Reasons for these effects are discussed

    Variations on the Author

    Get PDF
    “Variations on the Author” discusses two of Eduardo Coutinho’s recent films (Um Dia na Vida, from 2010, and Últimas Conversas, posthumously released in 2015) and their contribution to the general question of documentary authorship. The director’s filmography is characterized by a consistent yet self-effacing form of authorial self-inscription: Coutinho often features as an interviewer that rather than express opinions propels discourses; an interviewer that is good at listening. This mode of self-inscription characterizes him as an author who is not expressive but who is nonetheless markedly present on the screen. In Um Dia na Vida, however, Coutinho is completely absent form the image, while Últimas Conversas, on the contrary, includes a confessional prologue that moves the director from the margins to the center of his films. This article examines the ways in which these works stand out in the filmography of a director who offers new insights into the notion of cinematic authorship

    Appropriate Similarity Measures for Author Cocitation Analysis

    Get PDF
    We provide a number of new insights into the methodological discussion about author cocitation analysis. We first argue that the use of the Pearson correlation for measuring the similarity between authors’ cocitation profiles is not very satisfactory. We then discuss what kind of similarity measures may be used as an alternative to the Pearson correlation. We consider three similarity measures in particular. One is the well-known cosine. The other two similarity measures have not been used before in the bibliometric literature. Finally, we show by means of an example that our findings have a high practical relevance.information science;Pearson correlation;cosine;similarity measure;author cocitation analysis

    Dispelling the Myths Behind First-author Citation Counts

    Get PDF
    We conducted a full-scale evaluative citation analysis study of scholars in the XML research field to explore just how different from each other author rankings resulting from different citation counting methods actually are, and to demonstrate the capability of emerging data and tools on the Web in supporting more realistic citation counting methods. Our results contest some common arguments for the continued use of first-author citation counts in the evaluation of scholars, such as high correlations between author rankings by first-author citation counts and other citation counting methods, and high costs of using more realistic citation counting methods that are not well-supported by the ISI databases. It is argued that increasingly available digital full text research papers make it possible for citation analysis studies to go beyond what the ISI databases have directly supported and to employ more sophisticated methods

    Author Index

    No full text
    Nao informado
    corecore