134 research outputs found

    Sammy Cowan

    No full text
    This 1961 photograph, taken by Asheville Citizen-Times photographer Ewart McKinley Ball, Jr. (1918-1966), shows Sammy Cowan singing. Founder and director of the Mountain Youth Jamboree, Hubert H. Hayes (1901-1964) auditioned and directed youth to perform in folk dance, music, and folk and ballad singing. The jamboree was held in the Asheville City Auditorium (now known as Thomas Wolfe Auditorium) from 1948 to 1973, and Hayes’ wife, Leona Trantham Hayes (1913-1989) continued to direct the program after his death in 1964. Hubert Hayes was an author, playwright, and alumni of Duke University

    Mdhihirisho wa Mahusiano ya Uwezo katika Vikatuni vya Shujaaz: Uchanganuzi Makinifu wa Kidiskosi

    No full text
    Vikatuni ni chombo muhimu cha mawasiliano katika Karne ya 21. Huenda ndio sababu vimeendelea kukumbatiwa katika uwasilishaji wa masuala yanayohusu vijana. Makala hii inahusu Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi katika vikatuni vya Shujaaz ili kubainisha uzalishaji wa mahusiano ya uwezo katika vikatuni hivi. Utafiti huu ni wa kiisimu na ni hatua kutokana na tafiti tangulizi zilizotafitia vikatuni hivi katika taaluma ya fasihi. Nadharia ya Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi iliongoza utafiti huu. Kwa mujibu wa nadharia hii changamoto za kijamii hubainika katika uzalishaji wa matumizi mabaya ya mamlaka au udhalimu wa wenye mamlaka katika diskosi. Data ya makala hii ilitokana na sampuli ya nakala 35 za diskosi ya Shujaaz zilizoteuliwa kimakusudi kwa kuzingatia kigezo cha yaliyomo. Mpango wa kimaelezo ulitumika katika kuchanganua na kuwasilisha matokeo ya utafiti. Matokeo ni kuwa mahusiano ya uwezo katika Shujaaz ni baina ya:  wahusika mashujaa na wahusika wa kawaida, wahusika mashujaa na vijana, wadhamini na vijana, hadhira lengwa ambao ni vijana na mtu mashuhuri na mahusiano ya uwezo ya kiuana. Makala hii inatoa mchango katika taaluma ya isimu kwa kubainisha namna mahusiano ya uwezo yanavyotumiwa kuangazia masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa, na namna yanavyoweza kutumiwa kuwashirikisha vijana katika masuala yanayowakumba katika jamii. Utafiti huu unapendekeza tafiti zaidi za baadaye zifanywe kwa kuzingatia mikakati ya uhalalishaji na uharamishaji inayodhihirika kupitia mahusiano ya uwezo katika diskosi ya Shujaa

    IBPP Research Associates: Kenya

    No full text
    The article discussed - It\u27s Goodbye to Personality Cults and Songs of Praise, by Wambua Sammy - was posted on the December 30, 2002 - January 5, 2003 issue of The East African (Kenya). Copyright permissions were not available for posting the article in Scholarly Commons, but the article is available online as part of The Mail Archive. In the article, the author discusses and criticizes personality cults as they are associated with government in Kenya

    Mahusiano ya Uwezo katika Muwala wa Mada katika Hotuba Teule za Marais Kikwete na Samia, Kenya

    No full text
    Muwala huchukuliwa kuwa kipengele cha diskosi ambacho hufasiriwa kulingana na muktadha na hujumuisha dhana zinazohusiana, utathmini na msemezano. Makala hii iliangazia makala muwala wa mada katika hotuba teule za Marais Jakaya Kikwete (Kikwete) na Samia Suluhu (Samia). Nadharia iliyoongoza makala hii ni Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi. Nadharia hii hudokeza kuwa lugha yenyewe haina mamlaka bali huyapata inapotumiwa na wenye mamlaka katika miundo ya kijamii. Sampuli ya makala hii ilipakuliwa kutoka Kumbukumbu za Kudumu za Mabunge ya Kitaifa nchini Kenya zilizoko mtandaoni. Diskosi za hotuba teule zilizo sampuli ya makala hii ni zile zilizowasilishwa kwa lugha ya Kiswahili baina ya miaka (2013-2022). Kipindi hiki ni awamu ya 11 na 12 ya Bunge la Kitaifa na awamu ya 2 na 3 ya Bunge la Seneti nchini Kenya. Jumla ya hotuba 2 ziliteuliwa kimakusudi kwa kujikita kwenye mbinu ya uchanganuzi wa yaliyomo. Muundo wa kimaelezo ulitumika katika kukusanya, kuchambua na kuwasilisha matokeo ya utafiti. Data ya makala hii ilikusanywa kutokana na mchakato wa usomaji wa kina wa hotuba teule. Data iliainishwa kulingana na maswali ya utafiti. Matokeo yalibainisha kuwa vipengele vya  kigezo cha hali, washiriki katika diskosi, madhumuni ya mawasiliano, kitendo neni kilichotendwa na kaida za mawasiliano yalikuza muwala wa mada katika hotuba teule. Makala hii ilibainisha namna masuala ya kimuktadha huchangia muwala wa ndani na wa kijumla ili kuleta uelewaji wa diskosi ili kukuza mahusiano ya uwezo katika diskosi. Makala hii ilipendekeza tafiti za baadae zifanywe kuhusu namna vibainishi vya muktadha wa diskosi hukuza maana ya implikecha

    Muwala katika Vikatuni vya Shujaaz: Mtazamo wa Kiuchanganuzi Makinifu wa Diskosi

    No full text
    Vikatuni vina wajibu muhimu katika aushi ya vijana ulimwenguni. Huenda ndio sababu Karne ya 21 imeshuhudia ongezeko la tafiti kuhusu vikatuni. Kumekuwepo na tafiti nyingi kuhusu muwala katika uwanja wa kiusomi. Tafiti za awali zilijikita kwenye muwala katika makala, magazeti, tasnifu, vitabu na vikatuni. Hata hivyo, hakuna utafiti kuhusu muwala katika vikatuni wa Shujaaz. Makala hii inalenga kuziba pengo hili. Utafiti huu ni kueleza namna muwala ulivyokuzwa katika diskosi ya vikatuni vya Shujaaz. Diskosi hii ni jarida linalowasilishwa kupitia msimbo wa Sheng ambalo hulenga vijana kuanzia umri wa miaka 12 hadi 35. Utafiti uliongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi. Mojawapo wa madhumuni ya nadharia hii ni kusaidia katika uchanganuzi wa diskosi ili kufichua imani za kiitikadi zinazochukuliwa kuwa za ukweli na kukubaliwa katika jamii. Data ya makala hii ilitokana na sampuli ya nakala 35 zilizoteuliwa kimakusudi kwa kuzingatia kigezo cha yaliyomo. Mpango wa kimaelezo ulitumika kuchanganua na kuwasilisha matokeo. Matokeo ni kuwa muwala hukuzwa kupitia: mada, sauti za kionomatopeya, maandishi panelini na maelezo ya mwandishi. Aina ya muwala uliokuzwa ulitokana na msuko wa hadithi, muwala wa jumla na mada. Utafiti huu unaweka wazi namna kampuni ya WellTold Story ilivyotumia maarifa ya kiusuli katika jamii kukuza muwala wa jumla kama mkakati wa kuendeleza na kuwawekea vijana vizingiti ili kuwadhibiti. Hivyo serikali na mashirika ya kijamii yanaweza kutumia mkakati huu katika kuwaelimisha vijana kuhusu magonjwa ya majanga makubwa kama njia moja ya kupunguza athari zake kwa jamii.</jats:p

    Mkakati Wa Uhalalishaji wa Kimamlaka katika Hotuba Teule za Marais wa Tanzania katika Vikao vya Pamoja vya Mabunge ya Kitaifa, Kenya

    No full text
    Makala hii ilihusu uhalalishaji wa kimamlaka katika hotuba teule za Marais wa Tanzania katika vikao vya pamoja vya Mabunge ya Kitaifa nchini Kenya. Nadharia iliyoongoza makala hii ni Uchanganuzi Makinifu wa diskosi. Nadharia hii hudokeza kuwa lugha kivyake haina mamlaka, bali huyapata itumiwapo na wenye mamlaka katika miundo ya kijamii. Sampuli ya makala hii ilipakuliwa kutoka kumbukumbu za kudumu za Mabunge ya Kitaifa nchini Kenya zilizoko mtandaoni. Diskosi za hotuba teule za Marais Jakaya Kikwete na Samia Suluhu zilizo sampuli ya makala hii ni zile zilizowasilishwa kati ya miaka (2013-2022). Kipindi hiki ni awamu ya 11 na awamu ya pili na tatu ya Mabunge ya Kitaifa na Seneti nchini Kenya. Jumla ya hotuba mbili ziliteuliwa kimakusudi kwa kujikita kwenye mbinu ya uchanganuzi wa yaliyomo. Kifaa cha utafiti kilichotumika katika ukusanyaji wa data ni orodha ya ukaguzi. Muundo wa kimaelezo ulitumika katika kukusanya, kuchambua na kuwasilisha matokeo ya makala. Data ya makala hii ilikusanywa kutokana na mchakato wa usomaji wa kina wa hotuba teule. Matokeo ya makala hii yalidhihirisha kuwa mikakati ya kibinafsi, wataalamu, mfano wa kuigwa, yasiyo binafsi, upatanishi wa kimila. Makala hii ilipendekeza kuwa utafiti wa baadaye ufanywe kuhusu namna vipengele vya mkakati wa uhalalishaji wa mamlaka hutambulisha wahutubu katika hotuba za kisias

    Sammy Slap the Bill Sticker

    No full text
    A man pastes bills for different clients.https://egrove.olemiss.edu/kgbsides_uk/1024/thumbnail.jp

    Chorismus antarcticus

    No full text
    &lt;i&gt;Chorismus antarcticus&lt;/i&gt; (Pfeffer, 1887) &lt;p&gt; A circum-Antarctic benthic shelf species (0&ndash;915 m), reaching South Georgia, the Falkland Islands and Southern Patagonia (Holthuis 1952; Garth &lt;i&gt;et al.&lt;/i&gt; 1967; Ledoyer 1989; Komai &lt;i&gt;et al.&lt;/i&gt; 1996), although possibly confused with &lt;i&gt;C. tuberculatus&lt;/i&gt; in sub-Antarctic areas. Biological differences were observed between populations from South Georgia and the Weddell Sea (Gorny &lt;i&gt;et al.&lt;/i&gt; 1992). A very common species, with a preference for bottoms rich in epifauna (personal observations of the first author). Synonym: &lt;i&gt;Hippolyte romanchei&lt;/i&gt; A. Milne-Edwards, 1891 (type locality: Tierra del Fuego).&lt;/p&gt;Published as part of &lt;i&gt;D'Acoz, Cédric D'Udekem &amp; Degrave, Sammy, 2018, A new genus and species of large-bodied caridean shrimp from the Crozet Islands, Southern Ocean (Crustacea, Decapoda, Lipkiidae) with a checklist of Antarctic and sub-Antarctic shrimps, pp. 201-240 in Zootaxa 4392 (2)&lt;/i&gt; on page 223, DOI: 10.11646/zootaxa.4392.2.1, &lt;a href="http://zenodo.org/record/1195302"&gt;http://zenodo.org/record/1195302&lt;/a&gt

    Moon Sammy award goes to Marshall

    No full text
    This collection comprises newspaper articles, advertisements, images and announcements from newspapers (local and regional) which highlight the activities and the relationship of The University of the West Indies with its key stakeholders. The Marketing & Communications Office of The University of the West Indies, St. Augustine Campus, and Trinidad and Tobago has compiled this collection and the collection should only be used for research and educational purposes. Permission must be sought from the copyright holder (the newspaper publisher) if the article is to be used for other purposes

    Overturning imperial views : a talk with Hanif Kureishi

    No full text
    Hanif Kureishi, author of the screenplay of My Beauliful Launderette and Sammy and Rosie Get Laid as well as numerous stage plays, was in Barcelona in June 1991 to promote his first novel The Buddha of Suburhia
    corecore